CAK yaidhinisha kampuni ya  Moniepoint kutwaa Benki ya Sumac

CAK imesema kutwaliwa kwa benki ya Sumac, hakutaathiri  sekta hiyo kwa vyovyote vile.

Dismas Otuke
0 Min Read

Mamlaka ya ushindani nchini Kenya (CAK), imeidhinisha pendekezo la kmapuni ya Moniepoint kutwaa asilimia 78 ya hisa za benki ya Sumac.

CAK imesema kutwaliwa kwa benki ya Sumac, hakutaathiri  sekta hiyo kwa vyovyote vile.

Moniepoint Inc,ni kampuni ya kibifasi iliyoanzishwa nchini Marekani na inaendesha mashirika mawili ya kifedha nchini Nigeria TeamApt Limited na  Moniepoint Microfinance Bank Limited.

Share This Article