Wakenya wanajiunga na Wakristo leo kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi inayosherehekea kuzaliwa kwa mwokozi Yesu Kristo.
Bibilia Takatifu inaonyesha kuwa Mesiah Kristo alizaliwa siku kama ya leo kuikombia Dunia kutokana na dhambi.
Krismasi kwa kawaida hushuhudia Wakristo wakihudhuria ibada ya maombi kanisani na kujiunga na ndugu, jamaa na marafiki kwa shamrashamra hizo.