Sarah Wairimu ashtakiwa kwa kosa la kudanganya mahakama

Dismas Otuke
0 Min Read

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya raia wa Uholanzi Tob Cohen, Sarah Wairimu Kamotho, amefunguliwa mashtaka kwa kula kiapo cha uongo kuhusu kupotea kwa pasipoti yake yenye nambari ya usajili BK043532.

Idara ya uchunguzi wa kesi za jinai DCI imesema kuwa kumfikisha mahakamani Kibera Wairimu, siku ya Ijumaa kunakamilisha uchunguzi kuhusu makosa ya kudanya kupoteza pasipoti yake.

Kesi hiyo itasikizwa tena tarehe 25 mwezi huu.

Share This Article