Ruto akutana na viongozi wa jamii ya Isiolo

Kikao cha jana kilihudhuriwa na viongozi pamoa na wasomi wa kutoka Isiolo.

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais William Ruto alikutana na viongozi wa kutoka Isiolo katika Ikulu ya Nairobi Jumatano jioni kujadiliana kuhusu mikakati ya kimaendeleo katika eneo hilo.

Ruto alisema serikali kuu inawashirikisha viongozi hao ili kubaini njia mwafaka za kutekeleza miradi ya maendeleo katika eneo hilo.

Kikao cha jana kilihudhuriwa na viongozi pamoa na wasomi wa kutoka Isiolo.

Share This Article