Kindiki aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Mkutano huo ulikuwa mahususi kuhusu usimamizi,mipango ya kijamii na usimamizi wa umma.

Dismas Otuke
0 Min Read

Naibu Rais Kithure Kindiki ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri nyumbani kwake mtaani Karen mapema Jumanne.

Kikao hicho  kilijadiliana ajenda kuu za serikali na mipango ya serikali kuu na utekelezaji wake.

Mkutano huo ulijadili  usimamizi,mipango ya kijamii na usimamizi wa umma.

Aidha Baraza hilo lilizungumzia kuhusu mapendekezo ya Wizara mbalimbali katika kufanikisha ajenda ya serikali ya kitaifaa.

 

 

Share This Article