Tshisekedi akutana na Lourenço, kuzungumzia mzozo wa DRC

Waasi wa M23 wameripotiwa kutwaa mji wa Goma, mashariki mwa DRC, na pia tayari wameanza kuingia mjini Bukavu, ambao ni mji wa mkuu nchini DRC katika mkoa wa Kivu Kaskazini

Dismas Otuke
1 Min Read

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi alikutana na mwenzake wa Angola João Lourenço, wa Angola jusi kujadili kuhusu mzozo nchini DRC.

Lourenço ambaye pia ni mwenyekiti wa muungano wa Afrika (AU), alimwalika Tshisekedi mjini Luanda kujadili kuhusu jinsi ya kusuluhisha mzozo waRais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, alikutana na mwenzake wa Angola Joa Lourenco wa Angola juzi kujadili kuhusu mzozo nchini DRC.

Lourenço, ambaye pia ni mwenyekiti wa muungano wa Afrika (AU), alimwalika Tshisekedi mjini Luanda kujadili kuhusu jinsi ya kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa DRC, ambao umechangia vita kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa serikali.

Angola ndio mpatinishi mkuu wa mzozo huo, jukumu ambalo watalikabidhi taifa jingine baada ya Rais Lourenço kuchaguliwa mwenyekiti wa AU, huku kukiwa na matumaini ya kupatikana kwa suluhu baada ya Tshisekedi kukutana na Lourenço mara tatu mwaka huu.

Waasi wa M23 wameripotiwa kutwaa mji wa Goma, mashariki mwa DRC, na pia tayari wameanza kuingia mjini Bukavu, ambao ni mji wa mkuu nchini DRC katika mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa DRC ambao umechangia vita kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa serikali.

Share This Article