-
Quick Links
- Michezo
- Business
- Science
- Covid-19 Statistics
Tume ya Maadili na kukabiliana na Ufisadi EACC, imemteua Abdi Ahmed Mohamud kuwa Afisa Mkuu Mtendaji. Hadi kuteuliwa kwake, Ahmed alikuwa naibu Afisa Mkuu Mtendaji, na iwapo uteuzi wake utaidhinishwa na bunge, atachukua nafasi iliyoshikiliwa na Twalib Mbarak anayeondoka. Uteuzi wa Ahmed ulitangazwa Ijumaa kupitia arifa iliyoandikwa na mwenyekiti wa tume hiyo David Oginde. Kabla ya kuchukua wadhifa wa naibu…
Rais William Ruto amemteua aliyekuwa Mkuu wa vikosi vya ulinzi nchini KDF, Jenerali mstaafu Robert Kibochi, kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya hospitali ya rufaa ya Mwai Kibaki. Uteuzi wa Kibochi ulitangazwa kupitia gazeti rasmi la serikali la Novemba 22,2024. Kibochi atahudumu katika wadhifa huo kwa muda wa miaka mitatu, huku uteuzi wake ukitekelezwa mara moja. Wakati huo huo,…
Waziri mwenye Mamlaka Makuu aliye pia kaimu waziri wa usalama wa taifa Musalia Mudavadi, ametoa wito wa juhudi za pamoja katika kukabiliana na changamoto inayotokana na ueneaji silaha ndogo katika eneo la Maziwa Makuu na Upembe wa Afrika. Mkutano huo ulioandaliwa Jijini Nairobi, uliwaleta pamoja maafisa wa kuu wa polisi na makatibu wa wizara za usalama kutoka mataifa wanachama wa…
Tume ya Maadili na kukabiliana na Ufisadi EACC, imemteua Abdi Ahmed Mohamud…
Waziri wa kilimo Dkt. Andrew Karanja, leo Alhamisi alishiriki mazungumzo na chama…
Serikali inalenga kuongeza kiwango cha kahawa kinachouzwa katika soko la nje, kutoka…
Rais William Ruto amesema serikali yake imefikia hatua kubwa katika kufufua sekta…
Jumla ya wakulima milioni 6.45 wamegawiwa mbolea ya bei nafuu tangu mwezi…
Kampuni ya Kinangop Dairy Limited ilitawala makala ya tano ya tuzo za…
Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa amekanusha madai ya kaunti zote…
Wahadhiri na wafanyikazi wote wa vyuo vikuu vya umma kote nchini watarejea kazini Jumatatu ijayo Novemba 25 ,hii ni baada ya chama cha UASU kutangaza kumaliza mgomo baada ya kuafikiana…
Sign in to your account